M.B.P (mabeste bila plan)

watu wa insomania…do you have dat friend who never have a plan…na anapenda kushida akikutembelea…he can never suggest something or make a decision…niwale wasee atakumuliza nikuletee soda gani anajibu…yoyote nitakunywa…
ama unatumia drink gani…niletee ile wewe unakunywa…

worse pia ni madame B.P (bila plan)
unampeleka date, then waiter akicome u order then turn yake anasema,niletee tu kama iyo… then drinks niletee yoyote :smiley:

ama wale wageni hukuja home unamuliza utatumia juice ama chai…anajibu niletee juice nikichii chai :smiley:

hadi kwa coitus unapata dame bila plan…unamuliza uko comfortable na mkia…anajibu wewe vile unatakaa apo ndio una giggle HKM…:smiley:

ni poa mtu kuwa na plan
…ata ukienda chemist kubuy condoms unaulizwa trust ama durex…usiseme leta yoyote utakaa kama msee hajielewi…

16 Likes

Wale maboy ujifanya hawana plan chungana nao. These are people who save vipropa bt wanaku enjoy vile hawana mpango. Hawa ni wale maboy u buy drinks for wakisema vile wako msoto lakini mkiwa streets na mbambwe na makarao hao ndio wakwanza kutoa hongo kwa mabeast wawachiliwe

10 Likes

:smiley: msee unambuyia drinks anakushow ako tu na fair ya kuenda mtaa then mukienda home saa nane usiku munabambwa na kanjo…saa iyo umebakisha soo moja…boy atatoa hongo ya thao anawachiliwa wewe unapelekwa central una andikiwa …kesho yake uko cortini unatoka na thao tano…ata boys wako hakuji kukuangalia …

4 Likes

Eeeh jo manze.

Waaaa nimeitiwa pombe…wacha nijitoe

playing your cards right … :D:D:D

hapa ndiyo mtu huanza kupotezea bonga points…you have gone for lunch in a busy restaurant where even to get a waiter ni problem halafu anaambia waiter “hmmm ngoja kidogo”, mpaka drink…na saa hiyo mnarudi kazi so order yako inaletwa ndio anaitisha chips na sose/quarter. saa hiyo unakula peke yako awkwardly…

I had a chica wa “vile wewe unataka/utasema”.Nice chic. The kind that is laid back but in bed she is a tigress but under your guidance (vile utataka, so usipotaka any then unapewa tu kifo cha mende). I decided to test the vileutataka policy and suggested a threesome. “Kama uko poa nayo mimi sina shida” so I told her to bring a chic. “Wewe chagua test yako, mimi sijui unaeza taka dem anakaa aje”. Sinikajipanga and brought a chica wa kutoka gachie. We used condoms for entire session to avoid any mixup in the heat of the moment. All went well then two days later hell broke loose.“Unadinya dem mwingine kwa macho yangu! Halafu unanidinya na cd kwani nimekua malaya? mbona hukunilipa!” blah be bleh nyef nyef! yenyewe still waters run deep. Mwishoe ikabidi two hot slaps and a sweep nakutamba into the horizon kama avator ya @Mathaais

12 Likes

???

that’s a blood sucking parasite

:D:D:D:D:D:D

3 Likes

you can NEVER ever be sure with the female species…

3 Likes

“Maboy wangu imbo hawananga lugha wengine madingo na jumu zinatupa…hii ni shiiiida.”

1 Like

hii mambo huniboesha sana…halafu time chakula zake zifike ata zako zimekuwa baridi…

@Koolibah uyo dame wako ni wale unpredictable anacheza nawe 10minz amekustab…hawa madame wa vile unatakaa hawabambi…unaweza muita keja anakuja na anajuwa ako in her ps nahakushow…unatoa nguo ki ufisi utapatana na pad…unamuliza mbona husemi…anajibu wee fanya vile unatakaa :smiley:

2 Likes

Hii kitu hubore sana.

Nakumbuka nikiwa young fisi bado nachase hapa na kule…kuna huyu dem nlikuwa nakatia, dem kwa chat anachocha sana how good she is in bed na vitu anaeza nifanyia nikiwa hapo…though in person ni manzi bila plan, kila kitu ni vile utasema. So one day nyege zikanishow ni mimi na yeye, navutia dem ananiambia tunaeza patana. Mimi huyoo…nikamake arrangements za hadi kule ntamkamulia…kwa hoteli. So all went well kisses n foreplay hapo till young fisi nijaribu kupanua hizo miguu…dem amekaza nikama zimeshikanishwa na glue. Nikashindwa niaje na huyu dem.
Kuanza kumbembeleza anishow akaniambia ati ako periods…saa hio nimechoma kitu ka 2500 to make arrangements as a college kid. Sijawahi boeka hivyo na dem hadi nikaregret heri hio pesa ningechukua punch ya juu nilipe poko na balance nitumie vingine. NKT!

4 Likes

the sufferation of the mafisi

1 Like

I almost fell for this but the last part ruined it

swali ni moja tu ulikamua mkia :smiley:
ama ulideep throat hadi uka nut :smiley:

Hehe TLS…dem hajawahi kubore ukakosa hamu.

sometimes unapatagaa dame anakushow kitu hamu ya kukamua inapotea…example dame anakushow kuna day niliblackout nikajipataa na wanaume saba :smiley:
lakini fisi lazima ikuwe na plan B…una assume hao saba ni brother zake na unakamua…

pia kuna msee aliweka heka apa kuwa alienda kuchala doggy style akapataa ka piece ka tissue kama baki kwa haga…na skid marks

5 Likes