Ati huyo wa sofa ni professor UK
1 Like
Najua unataka kuleta agenda ya luos wanaishi kwa nyumba za matope ocha… mbona waharibu hayo mandhari safi. Place inakaa ocha vile inafaa.
1 Like
On the other hand mnawika of ocha building ikiwa ‘dead capital’
1 Like
Vile mi husema, matanga ndio equalizer.
Nyumba ziko karen