4k ni kidogo for “high end” but if you are creative kuna places unaeza enda. Ongeza budget ifike kitu 6-7k halafu Ingia Fogo Gaucho ama Pampa Churascaria mjibonde all you can eat meats for 2600 per person. Utakula hata mamba ukitaka. Lakini chunga hao service people ni wakora. Ukizubaa watakuenjoy ukule salad tumbo ijae ndio usikule nyama mingi. Ukiingia usionyeshe mtu meno na usikaribie meza ya salad. Straight kwa nyama. You can buy a bottle of some cheap nice wine (it doesn’t have to be expensive to be nice) mteremshe na mrembo mkirarua minofu.
Alternatively, ingia Sierra Bar and Grill ujibonde while partaking to their in house beer.
Ile usijaribu ni Brew Bistro. Aiku hizi kuna uchokora sana huko.
Hizo kama haziwezani, nunua tuu mzinga, 1kg ya chicken wings na viazi mtengeneze mlo kwa nyumba.
Jaruos and their silly obsessions’ with conspicuous consumption
Wajaluo wameingiliwa but you niggas is right. I do not advocate for reckless spending in the name of living it up
That amount is okay if you’ll go straight to the main course. Inti,Talisman, Hero Restaurant, Mawimbi ,Harvest Village Market, highly recommend these from experience unawesa finya your woman pia ndani ya hesabu with an extra 1,000 to be safe.
If you want to start from Appetizers to Desserts hio ni story ingine 8-10,000 to be safe for 2 with drinks.
Overly hyped rubbish. Luo Nights in the mid 2000s were beautiful, a place of culture. Hii ya kina Jalas was just random fuckery.
kuja kayole kuna hoteli iko high kwa ghorofa , na wanakubali uvute bangi ukuwe high
Inti full coarse corporate lunch ni 1600 inclusive of desert.
Ni kama kuna mtu alilazimishwa kwenda
:D:D:D:D:D… maskini hohe hahe @Wanaruona Apana kojolea krismas bonus yako kwa muhindi na kunguru,4 k ni mashillingi kidogo Sana for dining out,hio budget just buy some fish pale city market na ingredients kidogo na unga ya ugali and prepare a simple but nutritious meal huko kwenu kasabun.
Mutu hujikuna mahali anaweza.
Namwingiza fogo gaucho.
Una cheka nini. Hio akikula halafu aingie mitini haitaniuma sana.
Hio 4k ni rent ya bedshitter @Jimit pale paipu highrises jet view apartments.:D:D:D:D
I understand you are trying to justify your peasantry but my nigga salo unapata kwa mhindi ndo nalipa in rent.
Mpeleke tu pizza inn ama kilimanjaro. Usimpeleke high end restaurant kumimpress kama budget haiwezi.
Talking about a regular dinner from Starters to Desserts plus Drinks like wine or whiskey.
Money laundering scheme