[ATTACH=full]17058[/ATTACH]
Hii ni mboga yangu ya lunch. Nilinunua Jana jioni zikiwa raw, nikakaanga Mimi mwenyewe, sahii nimeweka kwa jua zikauke. Saa saba mama atengeneze kaugali kadogo tu, kiasi ya ngumi mbili and I am sorted.
[ATTACH=full]17060[/ATTACH]
Nafanya kutaste.
1 Like
KTalk CSI, analyze those fingerprints.
@aviator obviously hujawahi onja hii, I am told you are a she, hii mzee wako akikula, lazima utasalenda.
3 Likes
That’s a true african delicasy
1 Like
@aviator obviously hujawahi onja hii, I am told you are a she, hii mzee wako akikula, lazima utasalenda.
I would puke imagining kissing his mouth after the “delicacy”.
Jirani:
CHISWA
Impressive, I would imagine you have never seen or heard of Chiswa given your being brought up in Lang’ata and now living in Kitusuri.
pamba
October 3, 2015, 9:02am
8
[ATTACH=full]17058[/ATTACH]
Hii ni mboga yangu ya lunch. Nilinunua Jana jioni zikiwa raw, nikakaanga Mimi mwenyewe, sahii nimeweka kwa jua zikauke. Saa saba mama atengeneze kaugali kadogo tu, kiasi ya ngumi mbili and I am sorted.
[ATTACH=full]17060[/ATTACH]
Nafanya kutaste.
[ATTACH=full]17058[/ATTACH]
Hii ni mboga yangu ya lunch. Nilinunua Jana jioni zikiwa raw, nikakaanga Mimi mwenyewe, sahii nimeweka kwa jua zikauke. Saa saba mama atengeneze kaugali kadogo tu, kiasi ya ngumi mbili and I am sorted.
[ATTACH=full]17060[/ATTACH]
Nafanya kutaste.
Ambiako mama apepete mabawa zitoke# salivating.
Dicarlo hajawai kula hiyo. Wapi avocado mulosi?
Mundu I appreciate your generosity lakini mimi naomba tu unichemshie mbuzi. Hizi insects wacha niachie kuku tu, tafasari…
Though scientists say they are some of the most nutritious food on earth (possibly explains why Luhyas wanaenda ‘mbio’ za masafa marefu)
1 Like
He he he, sio inzi, ni kumbe kumbe. Very delicious.
Avocado na ugali? Hiyo wachia Mt. Kenya guys.
pamba:
Wings zina pepetwa
Inauzwa wapi Nairobi?? e kitu lazima nikule
Hio mkono inakaa scene ya jurassic Park
2 Likes
mundu i miss this food.
i remember as a kid nikiwa ocha my grandma would wake me up to go hunt them.
Kuna type mbili ile inatoka around 3-4am na ile inatoka majioni.
i remember i would travel home country and guess what grandson will get? ngwen.
we could also ‘beat’ the ground’ ilizitoke
Hizi siwes kula hata na ombitho
Shida ya mluhya ni kuita animal protein mboga