LUNCH YA 100 OR LESS

tangu kalasinga wangu atuambie kutoka Jana hakuna kazi mpaka Monday nilifurahi but sa hizi ndio naona kumbe Ile githeri tunakulanga hapo kwa mama Njoro ya 40 na avovado ni poa sana Na huku tao sasa haiko…
Saidieni Mimi mahali nitakula chakula ya less than 100 Hii tao… Na ikue chakula nitashiba vizuri nikiingia pale somer set jioni kunywa keg haitaniangusha!!!
Sandeni

2 Likes

Hapana tambua upeasantry

Maliza job hapo Cyber Tom mboga nikununulie keg jioni nugu…

2 Likes

Enda muthurwa senj

1 Like

Ngoja watu wa “back in campus i used…”:D:D:D:D

6 Likes

Lots of options there. Na pia utabakisha 20 ya fruits!

Sidai oleng utaongeza io mia mbao tu…uwe sorted

Yet una afford bandos …priorities!:wink:

5 Likes

looks like free wifee

Enda hapo odeon chipo ya 35+5tomato sauce ,

1 Like

Enda Odeon kuna ka-duka ile stage ya kangemi nunua Kangumu za 30 (6) na soda ya 30. Soda ikiisha jazilia na maji. Bakisha fare ya 40 to whichever peasant-land you live. I guarantee you hautaskia njaa hadi usiku

1 Like

Enda Muthurwa ama Bus station ukaribishwe vizuri sana ati choma na ugali ni 100. Ukiletewa unapata ni pieces nne za nyama, cabbage imeboeka na ugali haijaiva vizuri

1 Like

Ukiingia bus station from mfangano street kwa hako kachochoro opposite Club Saltes utapata watu wengi wameketi nje ya tuvibanda wakikula. Itisha chenye kitafurahisha roho yako.

1 Like

Enda klub 36.

  1. Bus station ya manissans
  2. hapo iyo market iko hapo Mfangano street karibu BS ya Kenya Bus

kumbe hii base wasee wengi wanaitambua?

By the way sikuwai jua inaexist until a bachelor nigga fren of myn pitishad me there one evening nkamwacha akirarua sembe kweli kweli [SIZE=3](nkakipia kwa pipi asiseme nmepitia kwa mpangoo)[/SIZE]…kweli nairofi ni kubwa

Cianda market?

Yea hapo, i dint know the name btw

Pia pale grogon kuna tu vibanda twa power