Ni kuskuma ka slow Wednesday bila pressure [ATTACH=full]450222[/ATTACH]
Na hiyo giza yote ni ya nini mchana?
Nimeona hio nyama mafuta nikaskia njaa sana. Kesho niko kenyarra market kukula choma.
BBQ pit mjamaa
Enjoy.
Imagination ya Aroma emitting from that place itanifanya niangushe toggenburg kesho. Any talker around RUMURUTI?.