Java
1 Like
Was the passport booklet thaat necessary?
3 Likes
just asked the waitress same Q,
Was the chips necessary?
I’m surprised hakuwekelea funguo za nduthi ziko na keyholder ya bmw
4 Likes
Umeshiba kweli mkuu ama hiyo ni appetizer ndio upitie Kwa Mama Oduk ukule tilapia
Then kuna izo cabej wamekujazia ni wanataka uzishibe kabla ufikie kanyama?
Tunajua body yako vile inakaa
1 Like
Mshamba amefika Nairobi
1 Like
Samaki ni Tilapia and brown ugali.
Ukibelch unatoa moto kama dragon.