Nimekuwa nikikula lunch different places. Sasa nimechoka na ile chakula ya kawaida kwa hizi restaurants kama kina Golden spot in kilimani, bonds place upperhill na kadhalika.
Time after time, I feel like I miss authentic kenyan dishes kama njahi, minji, tilapia e.t.c so nataftanga tuhoteli tuzuri twa kuserve fresh authentic kenyan dishes.
I frequent Pekeshe along mama ngina Street, nbk restaurant harambee avenue, aquauji organics inside truce bar kiambu road and bara along northern bypass in ruaka for swahili food, mama nilishe kilimani , rabbit hole industrial arean.k.
Najua elders hawawezi kosa kujua tuspots hapa kule kwa Estates na surroundings mahali mtu atapata tunjahi, minji, samaki ya l.victoria, sagaa na kadhalika.
Tao is too much kuingia na kutoka. Parking na sijui nini
Share these spots tafadhali.
Mnaona side effects za bangi?
Jackton Awinja Obiero @Sura Ngumu is a hardcore marijuana user. Oneni venye anajaribu kukatia @Swansea.
Obiero is trying to give the impression that he is a rich guy who is used to sophisticated cuisine, hadi amechoka na fancy foods anadai chakula za kawaida, ati
Alafu to lure @Swansea even futher, Awinja insinuates that he drives
Kila mtu anajua Awinja is a waitress pale Bistro 86 along Kiambu road. Hizi upuzi zingine ni chocha za kuingiza @Swansea box.
Sijui hiyo ajuaji restaurant lakini sisi tunakulanga kiamanyau kiosk githeri ya 30 na mukorobia.
Tunakula kwa madhe na hatusumbui
@Sura Ngumu hudeenyer @Swansea mattercore
Tandika huyo waitress wa Bistro 86 Jackton Awinja Obiero @Sura Ngumu na mpenzi wake Edmond Otoyo Obama @Swansea
Patty naona umetokeza kichwa.
Kuna hii “mall” opposite Adlife plaza ina place fiti ya kienyeji. All types of greens and fish in whichever style. Sikumbuki jina though. But it’s on the right side of the mall