Low iq

The time I have spent kwa hii Kijiji my iq imeenda chini na a few digits, thanks to akina ndindu na wengine.

90 percent content is about ruto, ojinga, konyagi, hasla(shiny eye) vile anateseka, kusalimiana na homo sexuality.

Ni kama zile redio za wakikuyu zinachezanga low iq games za animal sounds na mharo news.

It was never above 3 so you can only afford to lose 2 points anyway.

I like this. @kaynety whats your comeback?

Post links to your high IQ contributions or keep it moving.

Na vile ilikuwa chini to start with, si Sasa imeingia ndani ya viatu?:rolleyes::rolleyes:

Kuna TV station zingine huwa naona Kwa FTA decoder zinashinda na betting halafu in between kuna DJ movies