Low Flush Toilet Scam

Hii kitu is just nasty business in the name of saving water, hii unakumia ama kukojoa ile makojoo ya yellow conc na haiezi flush yote. Lazima uflush mara kama mbili ama tatu.
Afadhali ile ingine ya kutumia maji litre 20 kwa flush moja, inaflush kila kitu in one go. Nitairudisha nipewe hio ya maji mingi

1 Like

Tupee hekaya , kwani umekunia kilo ishirin flash ikashindwa kusukuma ?
Founding Father Spinning GIF

Sisi watu WA ocha hatuna hizi shida sababu tunatumia pit latrine ,meffi inagonga huko down the pit with some ritcher scale serious readings

13 Likes

Kubali wewe hushonde unajaza toilet bowl wacha siasa duni.

8 Likes

Buda, unakula simiti na hukunywi maji mingi…

11 Likes

Sasa ukikunia meffi kilo sita kama baluhia @poyoloko baada ya kula ugali mifuko mbili, mrenda na kuteremsha na mtungi ya busaa alafu anakunia kama kiboko utaka tufanye nini?

5 Likes

Malisa iyo humbwar cocoa ya manispaa

1 Like

ukibuy choo kitu ya kwanza kuconsider yafaa iwe comfort, na bei ama savings za maji ndio za mwisho kabisa.

choo ya nyumba hufai kuangalia bei, io ni kitu unabuy once na inadumu.

Hapana nunua choo low quality.

Ata ivo, @Ngimanene-Na-matharo chunguza zile vitu unakula hapo muthurwa, kuna uwezekano mkubwa shida yako inaanzia hapo

9 Likes

Ni baada ya kula sana maabura maya ma thigukuu ndio niliona hio maji haitoshi kwa mafi hata kukojoa kwanza ile ya yellow bado haitoshi hio maji inabaki kama diluted pineapple juice

Hii ni choo ya gicagi ya Nairobi inakuanga throne yangu

1 Like

I speak for the many who are shy about their toilet experiences, hii choo ni scam hakuna maji inasave, nitaambia jose wa hardware nataka kurudisha hii anipee ya maji mingi

Hizi choo hua blalifakin sana. Niliweka hio downstairs bathroom hata situmii. I prefer using the one in my ensuite ol skool ina flush mpaka unadhani inamaliza maji kwa tank. Hawa wanaongea ujinga hapa ni kama hao hutoa pebbles kama mbuzi.

4 Likes

Kuna button ya maji mingi na ya maji kidogo

1 Like

that’s true

You have to flush twice…inabore sana

I’ve seen landlords using smaller tanks…

Rusidha ile mzee yenye ina flush ata the odour

2 Likes

Wewe ni wa kinyesi mbimbi kama ya mbuzi

@sani these ones get it

Muikamba maskini nimekupea like leo. Ghasia wewe

1 Like

Leo ntakua nyuma ya JSKS

Just remember to close the lid then flush