Wadau nisaidieni, mimi ni peasant mmojawapo wa kukalisha watu wapate pesa kenya. Nauliza hoteli poa Nyeri unawezapeleka Mtu lunch hivi, na sio club, ju mimi na yeye hapana warefi, Budget ya 1k to 1500
Ingia pale White Rhino hotel
Le Prestine
Sikieni shaitani… Hio ni low budget? :D:D
Iko fande gani hio
Peleka yeye kwa kibanda uwache kusumbua
kuna…kitu inaitwa ‘"Airbnb’". jaribu hapo.
Gamerock
Ukunywe Shai na urudishe makagari Nairobi…
That’s far from town
Lunch ni chakula. Nunulia yeye soda na keki hapo stage ya shuttle mmalizane. 300 Bob tops!
The decor alone will scare this fisant and his village girlfriend
1500 hapo ni fiazi na sosej tu Itaweza.
(kungu maitu)
Na hizo zebu zinakwambia airbnb fake Sana… Hataki rumu, anataka shakula tu.
Nadai tu food, na place nawezapata vegetarian food ju mimi nyama nakula tu ni pussy:D,yeye anakula hata misumari na mbao:D
tafuta IBIS hotel
Anataka hoteli au restaurant? Juu hapo opposite K-Mart adjacent to Spring Valley Machinery kuna restaurant.
Hoteli tu. Food pekee because we are waokokis
County Palace. Kuna fombe lakini sijasema mkunywe!