Lost and found

Na ujuwe hapa mambo ya simba 1 hatutambui wakati ni wetu @ mjasusi na ukitaka kuwa village elder kuwa una sifu Baba mara kwa mara.

1 Like

Haha, hapo ni ngumu @ Pamba. Project ulifikisha wapi?

1 Like

Bado pesa imeleta shida.

1 Like

Sawa. Mambo ni polepole tu utamaliza.