Insurance will sort it
Nabambika na hao police. Yenyewe hapo hakuna kitu wanaeza fanya. Its like wanaelewa ile njaa wakenya wako nayo!
Nimeona poyoloko akiweka mahindi kwa mfuko ya longi.
SAA hii hata mbwa akigongwa na gari watu watakatakata na wabebe hiyo nyama