Huyu bingwa wa calypso hunibamba mbaya na tunes zake loaded with wit and sarcasm. From a small place like Trinidad ameskika kila mahali. Respect. Kwanza ile ngoma “World News” unimaliza all the time.
1 Like
Uzito ingine
2 Likes
Nilinunua hii album kitambo wakati CD zilikuwa very rare. Tafuta Pluto Shervington huyo ni mzito mwengine, style kama ya Laro. Ngoma yake Ram Goat Liver hunibamba yangu yote. If you understand Jamaica patwa utacheka yako yote