dusko
February 15, 2018, 5:05pm
1
Does anyone deal with importation of engines specifically lorries from India? I am looking to import one for a Tata 2516. If you are in this line or know anyone who is rusha contacts niwanukishie kitunguu.
Makanika murefi unaweza saidia? Nitakulipa in barrels of your favourite mvinyo…
system
February 15, 2018, 5:09pm
2
Smuggler @incognitus unaitwa
system
February 15, 2018, 5:29pm
3
dusko:
Does anyone deal with importation of engines specifically lorries from India? I am looking to import one for a Tata 2516. If you are in this line or know anyone who is rusha contacts niwanukishie kitunguu.
Makanika murefi unaweza saidia? Nitakulipa in barrels of your favourite mvinyo…
Zii.
Hapa siwezi saidia ndugu.
dusko
February 15, 2018, 5:31pm
4
Si unichoree moja nipatie dere atulie kwanza?? Anajua waks imeisha…
Raheem8
February 15, 2018, 5:41pm
5
I have an 2kd engine for sale.
hiyo enda tengeneza kisiagi nayo
system
February 15, 2018, 6:43pm
8
@Randy lete kiherehere kipande hii,ningekusaidia lakini randy goat itaharibu biashara
dusko
February 16, 2018, 4:13am
9
acha ufala. saidia if you can…otherwise take a hike! If i recall correctly, @Randy called you out after you gave some crazy quotes and you decided to catch serious feelings instead of kukubali ulipatikana. [SIZE=1]pia punguza umama[/SIZE]
dusko
February 16, 2018, 4:14am
10
hehehe sande sana kwa hii sweep :D:D:D:D:D
marine1
February 16, 2018, 4:19am
11
Hizo tata kwani what are they made of? Zinasumbua sana. BTW yako ilikuwa kwa mchina pia?
dusko
February 16, 2018, 4:23am
12
Uko na moja?
Hapana siwezi fanyia mchina kazi. Hiyo ni hasara tupu. Gari itaharibiwa na pesa ni kidogo.
marine1
February 16, 2018, 4:27am
15
Hehe, they really fixed Peeps. Watu huku nje wanalia sana
dusko
February 16, 2018, 4:29am
16
Najua. Ebu sasa leta engine kitunguu lazima inuke bro
system
February 16, 2018, 4:29am
17
humber,si uende ukatafute kule ulinunua hio tata, ama uliinunua kwa butchery,?
dusko
February 16, 2018, 4:30am
18
i repeat, umama peleka hukooooo --------------------------->
marine1
February 16, 2018, 4:31am
19
Mimi sio makanika wa tugari
dusko
February 16, 2018, 4:32am
20
hehehe acha ufala. ama nikuitie hao watu wa loan? :D:D:D