Nisaidieni kidogo hapa, I’ve Googled mpaka nimechoka, mtu anirushie hii wimbo “Sakata ya Makangari” I don’t know who’s sang it.
:D:D:D Jana usiku niliona wasee waki-dance hii ngoma pale Busia.
2 Likes
chezea demu mmoja hii ngoma huko busia, utapata threshold after threshold
muziki za kenya:D:D:D:D:D