Looking for skilled fundi to root phone

The phone brand is oppo, nimeshidwa kuelewa xda and need this done asap.

Kingoroot
Kingroot

Hizo zinakataa

@snapdragon kuja iko pesa hapa

Umeomba wadau ruhusa kwanza? Kaa chini kwa sakafu mbele ya wazee wa kijiji.

Umeshidwa?

Old timer from klist

@Deorro @snapdragon pesa ya jioni hapa

Link ya hizo instructions Xda nione

https://forum.xda-developers.com/android/development/root-install-super-su-oppo-a37f-t3613351/

Yaani adi Kuna video na umeshindwa kufuata

Meffi, seems I don’t have some drivers since that app doesn’t show anything on com ports.

Huwezi saidika.