asee ma people na wed on ohoo, im looking fr my classmates kadika primary ombo junior academy and Oruba complex between 2004- 2007.the likes of barrack ochieng’ ,kenneth Omondi, Ondaba, Wyclife Ochieng, Nyagu Nyalala Maxwell, Otuke footballer, Atoti,Laura Amondi ( kadika primary), Shenal Amondi , Mitchell Anyango, Madina Hamidu, Tedy Akumu, (Ombo junior). Churchill, Nelson Edmund,Joseph katumo, jalong’,( Oruba complex) . I am Adolf, with all due respect.
Umesahau Jatelo makende nane
Does this look like a school notice board?,Adolf usipite hapa tena.Unaweza ruka juu hadi mbinguni!!!
What kind of schools did you attend jamaa… the names
Hii ni Meffi ya Migori.
Hehehe hizo majina zinaambatana na hizo tarehe…alafu budake ni fan wa ww2
Haiya!!! @Deorro hebu kuja hapa unatafutwa.
siwes ita mtoto Adolf
utakuwaje fan wa WAR like seriously unless wewe ni serial killer :D:D:D:D . jaluo jinga kabisa
Try FB or pay me some cash and I will have found their phone numbers, names and place of residence within a week.
Nani amekuuliza.Kamua ma shemale polepole:meffi:
Niaje Bari-nyani?
mimi nilisomea Winyo Primary na haiko Migori
Poa mkubwa,Anza na Title HOH @Tiriitiondo
Owuonda, uko na ufala sana. By the way, Odiwuor ana do well hapa Nairobi!
wale wa st Andrews Turi tuko wapi?
mnakula beef stroganoff
Kuharibia mtoto maisha sana imagine aende majuu…mtoi wa white supremacist ok…lakini mtoto mweusi titi kujiita Adolph…kwa raha zake lakini
:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Pass,yaliyondwele sipite…