LOOKING FOR A SOLUTION, Nita shukuru

Was watching a movie then all of a sudden it went mute and this is not the first time. All am asking ni usaidizi @ Tommylee.
“Audio outputs temporarily muted. Do not adjust the playback volume. The content being played is protected by Cinavia and is not authorized for playback on this device. For more information, see WWW.cinavia.com

Honorable villagers how do I go about this? saa zile movie imeshika ina leta hii upuss inaenda mute. Kuna ujanja?

2 Likes

audio codecs zako…ebu reinstall

Am using Samsung DVD and I’ve updated it.

hata mimi nisaidiwe niko na same problem nikiwatch some movies nimedownload niwekee kwa hard disk then niconnect kwa PS4 inaniletea hii shida but nikiwatch kwa laptop iko tu sawa

Wow! just wow!

Jaribu na ps3 itawork…ps4 is not much of a proper media player yet

Nani mioto ni ya nene? Amesema anatumia laptop? @Bantu seems like a drm enabled bootleg disk you have. TaftaI video kwaI torrent.

baba PS3 pia inakataa inanipea hio CINAVIA chieth

Same thing, nime download nika weka kwa flash kuwatch movie half way ina anza hiyo ushenzi

1 Like

Pole…DRM is a problem. Weka flash kwa tv basi.

Questions well answered

kwa tv sijui kwa nini , hard disk ni 1 TB imejaa mpaka 950gb nikiconnect kwa TV inahang niki scroll

Pengine ni hard disk. Sony tvs have a problem with their software. The media player hangs randomly. Tupa hiyo Tv nunua samsung.

1 Like

Weka folders organize. Na usijaribu kuleta mbisha za net tenaa unadai ni zako. Cheki ile thread ingine.

hiyo mbicha ilikuwa example infact hio picha @0_%omera ndio alipost mara ya kwanza kwa zile mikia anatuwekeanga

1 Like

change the format of the movie to ->MOV, you can use format factory

@Bantu must be that “insert disc” movie

Sawa. Safisha macho na hii mkubwa. Momo.jpg

swaaaaffff