Long serving US Democrat Senator dies at 90, sources confirm

Wazungu pia wao huwa wanakatalia kiti hadi kifo inakuja kuwatoa.

https://twitter.com/Phil_Lewis_/status/1707738098694516925?t=kSMK1P1BZRBRxQuPvXHKWQ&s=19

Just like Ruth Bader Ginsburg, huyu alikwama kwa hiyo kiti. Even when she was no longer lucid

1 Like

A 90 year old senator…!?

Kuna judge niliona anaelekea 102 years na amekatalia kwa kiti. Glitch McConnell pia habanduki

2 Likes

Ronald Reagan was dishing lifetime appointments back then.

1 Like

What about Mitch

Glitch… :rofl:

1 Like

Kiti ichukuliwe na Republicans sasa

Alikwama hapo because yeye ni corrupt kama our leaders. Unaonanga vile wase husema ukitaka kujua stocks za kubuy or sell follow nyanya Pelosi.

Mzee ni kama alishikwa na mini stroke in the middle of press.

The Governor of California is the one who appoints his replacement. He is a Democrat

1 Like

mara mbili. awachilie hii kiti, asiwe kama mugabe

1 Like

Vuta bangi bole bole

1 Like

Na wewe unatoka hapa when uwajoin hao colleagues wako ocha?

1 Like