Please help on where i can download this movie. A clear copy kama iko
Tulisema watu waeke KODi mwache kutusumbua. Juzi Blaze alinunua android box akaniita nimweke KODI. Ako excited Amesema hii Easter hatoki kwa nyumba
[ATTACH=full]35036[/ATTACH]
Na huyu blaze ni Nani unakaanga ukimtaja. Kama si mwk yako, kijana uko na Shida. Ama it’s German for ’ waweru’?
Ni beste wangu wa pawa…nugu hii. Tumepitia mengi na huyu Boy…kimaisha
sasa me nauliza Kodi ni nani na Blaze ni nini?Help a villager out
Wewe ni wa Ocha gani Meffi?
laikipia south
Shugulika na kwenda zile movie za kibanda zenye ulipisha mbao mbao pale ocha na ina ka MC mwenye uwashow nn inahappen during movie uwache kutusumbua
Kuna wale maboy wa squad yako wale you hangout with, drink n watch soccer nao, hunt for quails together kama wingmen kitu kama hiyo so blaze kwa jirani ni kama msee wa squad yake. All men have such friends
London has fallen bado iko cinema so hakuna clear copy. DvDs hutoka after 3 months so ngojea hadi june ama kama huwes enda Prestige Plaza huko Ngong road ama Sarit center n watch it there…
…
Most people hudhani watching movies cinema ni expe. Mimi najua fellow students who watch blockbusters huko asubuhi kitu saa mbili ama saa nne when charges ni 200/300. Si lazima mtu anunue popcorns ama soda. To control the hunger urges in in advance kutoka home ama shule. Pay for your ticket n enjoy the movie. Kama thats expe for you ngojea 3 months upate dvd version basi. Lakini camera copy usiwatch tafasari
Ok,we are all men and thus have such friends, but do we keep mentioning them here by name?
Unless him and Jirani are very ‘tight’.
Pia mimi nimeweka kodi kwa laptop. Shida tu ni buffering from time to time,nahitaji net better
Ungekuwa majuu and u have a friend like Blaze ndio utaelewa. His a brothers keeper. Nikiwa mgeni ujeru ni Blaze alinionyesha how to survive in Germany. Kuna wakati karibu ni give up lakini mseh aliniweka Moraley. Ukiwa majuu as a newbie many fellow Kenyans ambao have bn there uku mislead ndio wacheke baadaye ukianguka lakini Blaze haikuwa hivo. Ameni show vitu mob kama nilikuwa naogopa wazungu nikiwa mgeni…Blaze alinishow hawa watu ni human kama wewe usiogope mtu. Siku hizi mzungu in my eyes ni nkama Chokosh wa kawa. Kuna vitu mob uyu boy ameokolea jo
huko ni ndonduri gwa kiongo?? understandable now
and speaking of kodi, nahitaji usaidizi on how to set it so that the default getaway uses a proxy server on windows. i cant seem to find that option on kodi settings. am already using a system wide proxy that every other app works with except kodi and a handful of other apps
@Deorro = Blaze
Meffi wewe usinitaje hivyo tena ama nitakuitia jajuok wa siaya
Hehe … pole usiniitie huyo mod