LOL just LOL at grown men that drink sonda

https://www.youtube.com/watch?v=zLhyNOyi8_k

[ATTACH=full]370298[/ATTACH]

Sonda ni kitu gani?

I’ve never drank “sonda” ever

Nyang’au kwani mna-kunywanga whiskey kavu?

Mimi huwa na-mix Glenmorangie Signet Single Malt na Sprite. Very refreshing…

Na msiibe hiyo recipe!

I take soda a couple of times every week and I owe no apologies.

Lazima iwe ni kitu ya kusondeka…
As in kutengeneza in greek.

I drink soda every day like Mzee Kibor.

Sukari imejazwa kwa hizo vitu nowonder wanaume wanavaa skintight jeans:D:D:D

Unapatia konyagi jina mrefu sana kaka

What is your BMI?

What is your BMI?

  1. You know a soda only has 150 calories. Very little in the scheme of things.

It’s not about the calories. It’s about the insulin.

Thota mûirû