lodgo za bei ya mwananchi

wenye wako na info on best rates, B&B, in town centre and zisikue zile za lodgo come brothel

TIA!

Enda hapo Hilton. Best lodgo in town, and very affordable

7 Likes

ambia ango uwesmake akupe room yake pale SANKARA.

4 Likes

wacheni kukojolea thread bwana

kuna haka kahoteli POTUS alilala kanaitwa Villa Rosa Kempiski

1 Like

Hio ndio kazi ya tujinga tuingine kukojolea n they will still benefit

How do you benefit from knowing bei ya lodgo?Billionaires ni kupeleka mShe fully furnished apartments and pay for 4 days. If you want contacts za apartment sema nikupe.

2 Likes

Labda uniambie vile ntajenga hizo apartments usikojoe hapa tafasari

2 Likes

Ongea na @Mzee mzima akiuachie keja yake one hour

2 Likes

Madhe na majunior wakiwa wapi?

2 Likes

qualifier zinakupeleka vipi?

yani nyii wote hulala kwenu daily.kukaliwa na bibi is real @Mathaais wacha za ovyo @The_Virus kunywa carlsberg uwache umakende

1 Like

biraru enda pale sandton palace,ama meridian, huko nimekamua bibi ya jamaa flani a few times.

1 Like

hizo nazijua…swali ni bei?

Ma man cave huku ni mob. Hiini weekend ya familia. Saidieni jamaa

Airbnb? https://www.airbnb.com/s/Nairobi--Kenya?s_tag=ID65Cb0p

Manze za Jana multibet kadhaa ziliniangusha… Za Leo nilianzwa Na Ile ya Madagascar. Sasa nategea za baadae. Hata sijui ya Ghana imeendaje

1 Like

Where exactly? River road, Town ya juu ama Moi Avenue?