Locusts zinakuom narofi

According to these fellows

Wacha zikuje zishindane na ngombe za mmasai kula taktaka nairobi

Wacha zije tutaziandalia red carpet.

High time to keep kuku kienyeji.

zitakula nguo hizi

Wacha zikuom zikuje tupewe holiday ya Ku deal nazo.

But nimecheki Aljazeera zimeland Pakistan na Saudi Arabia wamelia saidi huko

[ATTACH=full]286593[/ATTACH]

najua kijiji neva forgets but, kusema kweli mi naogopa hizi grasshoppers\locust kubwa kubwa. my older cousins walini tesa nazo sana nikiwa mtoi hadi nikadevelop phobia ya hizi vitu. nikiwa nimerelax tu pahali alafu ni spot locust kubwa karibu nastuka kiasi but i quickly contain myself cause i ain’t bout to look like a bitch.

naweza watch vida ya mtu akichinjwa kule bestgore nikikula chips na tomato sauce bila wasi wasi, siogopi nyoka naweza weka kwa shingo yangu, nikiona spider bigi kwa room sitingiki hata sishuguliki nayo. lakini hizi vitu ndio kryptonite yangu:mad:. nikikutwa na swarm mzima sijui itakua namna gani banae:D

Locust Ni mboga very friendly. Shida ni zile ziko na spikes Kwa mguu but hazisumbuani na MTU just greens zake.

Nilikuwa nikuulize na je Nyoka huogopi,nikaona unaiweka kama necklace.Grasshopper mimi nachoma na ninakula.Our fears are inverted.Nikiona nyoka ata kama imefungiwa my body goes cold

Me and snakes ni Hivi*
I love @Ching’iti

Desert locusts are toxic

True

The Terrifying Science Behind the Locust Plagues of Africa | WIRED

what goes on huku?i tried once sijawahi rudi. are people are paid to kill on that site ama?

Visited that place and watched 3guys,1hammer. My life has never been the same again. Sijui kimbelele gani ilinipeleka huko

it’s a site where gory images and videos can be posted since they can never be posted on mainstream media. gory accident videos/pics. vids of gangsters butchering rival gang members, etc… there’s some very sick people in the comments section though.

shiet

niliona cartle waki chinja mtu matumbo iko nje nika choka na maisha

This things can make dope cow feed, wakichukuwa helicopter kadhaa na net wanaziscoop then pale gichagi ngombe zichangamkie