LOCKMENTATION

Thermometer inamaanisha nini kwa hii not-at-all hekaya?

:D:D:D:D:D

Kipima joto

come south c na hio board tugame

Afande Omwami kama bibi ni afisa pia, ambia sergeant asipatie yeye AK47 bila kukuambia…:D:D:D

:D:D:D:D:Dni huruma wakati wa con-valescence ya salmonela

Ndio afande anatumia kujua kama shiny eye wife amejam akifika kwa nyumba

your PM should request for a DNA test

Umewahi fyatua hii kitu? Sema ndio ama yes.

Kwanza Mimi ndo husafishia yeye unajua hizi outposts hakuna kitu ya armoury kila Askari anaishi na bunduki yake plus ya mwenzake ako off so mkiskia kdf officer gunned down huko kwa ngilu msingojee confirmation

@pamba I just hope you overcome this. Usijiweke stress. Na kama ulimwaga ndani kuwa tayari kulea mabibi wawili kwa nyumba moja. Na kama si yako acha wasi wasi, unaambia tu bibi mtoto azaliwe afanywe DNA.

Afande akamatwa!

Most of the sad incidents we read about homicidal and suicidal members of the armed and ‘disciplined’ forces…kumbe ni mambo ya slices tu.

Niko church.

Katoi ni kasema ukweli. Kwanza vile umehepa, ukirudi…

You beat me to it Kuria