niko nashida. I have a loan with mshwari (in default) listed on crb alaf Safaricom wameniskuma Kwa company ingine inajiita Gilchery Space track wameniandama kama nyuki phone calls, sms zingine wazim. So right now I’m not able to repay my loan. So what can they do to me ama ni vitisho tu?
Ni doh ngapi ?
6K
Enda uchukue loan Tala ulipe hii ya mshwari
[ATTACH=full]250652[/ATTACH]
Siwezi chukua loan kwingine
niko na ya 3k mshwari mtu akiniguza kwa njia huwa naruka kama antelope imeona leopard
Umetishwa tishwa na phone calls na sms?
Hizo ni vitisho baridi. Hakuna kitu utafanyiwa. Block hizo number kwa Truecaller, lazima waelewe uchumi ni mbaya.
Tuna mia tano halafu uchill. Hakuna Kyle watakupeleka. Gilchery ni meffi.
sms walituma kama mara tatu wakachoka, i only got one call
Did you have the intention of paying? ama ulitaka kuwaosha
Si kua na bad intentions ni vile uchimi ni mbaya.
this is gold
Dont worry yourself too much, next time they call you pick the call give them a date even if it is after three months. But eventually make sure you pay the loan you will be cleared automatically from CRB listing.
deni ni kitu mbaya saa zingine, hata unkown number i hisitate to pick up
Vitisho vya chura tu, kwani havizuii ng’ombe kunywa maji. I was put on CRB because of 1k Mshwari loan, now I pay them 1 shilling everytime I feel philanthropic.
Madeni niko nazo zimekaa miaka mbili na siogopi. Walitext na kupiga simu wakachoka. Kuna mmoja wa Tala alinitusi ati wao ni loan recovery nikamtusi nikimuuliza kama pesa ilikuwa ya mama yake. They can’t take you anywhere. No collateral pia. It’s unsecured, that’s why they charge crazy rates
Mimi wanipigia, wakatext etc. Alafu leo ni apexcollect, kesho ni skywave.
Okash walikuwa wanapigia six times a day na saa hio nimelipa ikabaki 600 na hata nililate kulipa na just a few weeks. Siku moja nilichoka nikawauliza kwanza hizo pesa wanakopesha watu wanatoa wapi na vile uchumi hi mbaya ama ni wizi? Na nikawaambia wasiwai nipigia tena. I paid it after a few days and it’s the last mobile loan I ever took! Never again hata nisote aje.
Kua ready kuaibika, nimeambiwa wengine hupigia friends and relatives kuwaambia uko na deni sijui ni Okash , Tala or branch