living illegally oversees

I once visited my friend in a certain town in UK and as we were about to use the tube, jamaa alienda kama risasi. I later caught up with hima and he told me that he saw a policeman. Nikamuuliza what’s wrong with that. He said he has been in this country illegally for like 20 years. Nyumbani, he’s my neighbor na amejenga flats nyingi sana lakini huko huishi hide and seek.

Kwani polisi watamuona wajue ako uko illegally… Izi ndoto mnaota za ujinga ju ya kulala mkiwa njaa acheni kuleta apa

Ni wengi sana ,i know a bunch of guys walienda ‘kucheza ball’ ,hawajarudi

Gova ya UK ni kama ya shetani…I wonder wasee husurvive hio life aje

ata huwezi pita na zaidi ya $1000 ya UK cash kwa airport…wataibeba kama huwezi prove hio pesa ni yako aje na kama uliilipia ushuru (customs zao wana uwizi mnoma)…by the way sikujua dogi inaweza nusa kama una noti ngapi kwa suitcase bana…dogi kama hio would come in handy…

wakikupata kwa street wakushuku wewe unakaa msee wa kukam… wana right ya kukuarrest na kukubeba hadi uwasho uko mtaa aje…hakuna kitu kama search warrant kama huwezi proof uko hapo aje…wanakuom home kwako wanapita na milango na kila mtu ako home…bana…

ukicheki hizi series za youtube search for #customsuk #UKBorderForce #BorderForce manze utatuliza ufala Kenya walahi…

https://www.youtube.com/watch?v=-tyitbJ4c1A

https://www.youtube.com/watch?v=v_p1xs7AJR4

UK wana ushetani noma kama utawatch hizi vida utaelewa…live legalized racism…

…sa ingine mimi hushangaa Konyagi1 na wakenya hupatia mashetani hizo military base hadi wanarape wanawake kenya…na wewe ukiwa huko ni kama kombamwiko…the videos speak for themselves…Konyagi1 hatawahi lilia mkenya

cheki hizo vida kadaa youtube hapo juu ndio utajiju…karao wa UK hapana tambua katiba ama rights my friend…constitution wise, UK ni ahera kabisa if u are an immigrant…wanacheza ligi moja na inchi kama saudi arabia, qatar, etc

…inabidi uwasho uko 15 years old bana kama ulivuka chini ya lorry na hawana rekodi zako…otherwise kama wewe sio underage ama mama ana mtoi wa kunyonya huna lako…customs watakubeba mali yako yote na immigration wakutie on mere suspicion

They know the country is small and yet they colonized many countries where the citizens might feel comfortable to live in the UK illegally simply because they can speak English.
The white citizens support the tough immigration laws because they know the country will soon be a black or Indian country if they do not act. London is already infiltrated by so many foreigners and its only a matter of time and they will spread across the country if made to feel comfortable.

UK is like an urban guy who had a habit of visiting his rural relatives and overstaying. Now the villagers feel they have a right to visit him and stay as long as they wish based on his past behaviors.

Shait

you are the one dreaming here… travel the world and expose yourself. First, policemen are always on the look put for nyeuthi plus an African always stands out somehow. Second, if you know you are doing something wrong, mtu hujishuku and you may act funny

Kwanza Africa. Almost all Africans want to live in the UK. The number of black people in the UK is growing at a fast rate. Even with tough immigration laws, Africans are cheeky people. They will use all ways possible to go to UK including doing what @Lordsavegery friend has been doing for the past 20 years.

lakini kuishia kwa train station…unatafuta msee anakaa muafrika, muchinku, muarabu etc ambaye bado ananukaa ocha kwao bado…unambeba majujuu…unamnyanganya kila ndururu…alafu unaenda kwake unabeba mabeste wake na familia yote unawarudisha ocha na slippers bana…unachota hio hustle yao yote bana…

ndio unapata mkenya ana bonga cockney accent unashanga is hao…survival noma…ukiulizwa umetoka wapi…unawatusi na cockney wanatembeza…otherwise kazi ni kuvaa track suit ukiowaona unatoka kii moh salah…bahati mbaya wakikucorner…unawashow unatrain london marathon