Liverpool vs man United

I bet the odds.

Liverpool ikanyaje mtu

Confirmed LFC team to face ManUtd: Mignolet, Clyne, Toure, Sakho, Moreno, Lucas, Henderson, Can, Milner, Lallana, Firmino.

#Man u XI: De Gea, Young, Smalling, Blind, Darmian, Schneiderlin, Fellaini, Lingard, Herrera, Martial, Rooney.

Firmino chapa mtu bao tatu

2 Likes

Both to score ndio nimeekelea. @The_Virus unachezaje?

LIVERPOOL 1 MANCHIETH 2

1 Like

Upusss

2 Likes

Mbwa wewe. Ww ni Mgooner wa aina gani? Unatakia united ushindi…smh.Toka Arsenal pls

1 Like

Man United 3 -Liverpool 1.is my end game predictions. Man utd fans hold my hand.

Man United 3 -Liverpool 1.is my end game predictions. Man utd fans hold my hand.

sasa nani ako home nani away

Wewe kwanza ni nani? Jitambue.

NAONGEA UKWELI SI MAMBO YA FEELINGS

Unataka ni hang kipande kwa post.? Kwani mi ndio nacheza game ya Liverpool - man utd. Tulia uone tukikamua Liverpool.

1 Like

Unataka ni hang kipande kwa post.? Kwani mi ndio nacheza game ya Liverpool - man utd. Tulia uone tukikamua Liverpool.

Shocks man utd away

GGMU. Naona ikienda 3-2 in favour of the red devils.

liverfools wako home

Pole bana. Nilikuwa swimmo.nimeeka RBTTS

final score liverpool 0 man u 1…

Tema hiyo mate Fools 0-1 Utd