Live Betting Iko Chonjo

[ATTACH=full]391637[/ATTACH][ATTACH=full]391636[/ATTACH][ATTACH=full]391637[/ATTACH]

Kesho napanga nianze na stake ya thao

Umebet 16k

Yeah for the last one month… Nimekula 35k

[ATTACH=full]391645[/ATTACH]

Thao kila siku iko chonjo

kwanza pale kwa over 1.5 goals ama corner over or under 8.5

ukitaka damu ikimbie ebu siku moja ekeza alafu uwatch hio game

Corner markets huwa fiti Sana over 8.5 just select most aggressive teams like
Chelsea, arsenal, Manchester’s, Liverpool, Leicester, Roma, inter, AC Milan. etc

Hii ni gani haikati tax??

Hatusemi

Follow @wizard_season pale Twitter upate free 2-3 odds 95% hit rate kila siku.

Congrats, umejoin league ya professional gambler you need to up your stake and you are good to go.

Nani alikuwa anasema 1xbet iko na tax? Tumia app na uwache kutumia Akili kama bakuli

@Sokwe mtu ghasia kuja changia thread ya wawekezaji wenzako.

Hii thread ilinipita aje … anyways live betting ndio imenifanya Hadi nikajiita mwanaume pochi…Kuna vile ni rahisi sana kupredict game inaendelea juu unacheki intensity