liVARpool inauwa yellow submarines

Liverpool 2 -1 Villareal Sindio uwesmake…

Ushawekelea bet shemeji…:smiley:
Game inaisha 4-1.
Ango uwes ako nyuma ya Villarreal. Usisahau Emery alikuwa Arsenal. Damu ni nzito kuliko maji.

Hao watoto wa Unai ni wasumbufu don’t underestimate them, all in all I want Liverpool to win, can’t stand my noisy neighbours winning UCL juu naona santiago wakiponyoka na draw

Wamekazia Liverpool but I’ve noticed Villarreal na game ya mbio inawalemea. Acha tuone second half klopp anakuja na tactics gani.

lakini wako na confience ya ujinga sana. Ile mchezo wanafanya kwa box yao

Lapse in concentration hapo Kwa box will cost them

WAMEDINYWA ZAO MBILI WAENDE NAZO

mzee Emery na coquelin wamejaribu upusss

FT 2:0 to LP