Littering in Kenya should be crime

Ni akili watu hawana ama nini? Kila mahali unaenda unaona wajinga wanakula alafu wanatupa hizo wrappers na container za plastic kwa barabara bila atakuskia aibu. Hizi count goverments wanafaa waanze kufunga watu wale wanatupa takataka.

Atleast leo umefikiria kama mzee wa kijiji. Pewa mtura ya kefao kwa bill yangu

Kenyans are generally irresponsible and they dont like obeying the law.

The government should allocate disciplinarians kwa street. Ukitupa wrappers unapewa zako tano za matako unakimbia ukiwika

endeni Esiolo, Garissa na Wajir mjionee izo plastics. Waria are careless dirty fuckers

I agree 100 percent. People who are caught should clean the street they littered in.

I s weep for my people…

I see you…advocating for gay jobs.

Personally I cannot bring myself to litter. I carry all my water bottles in my bag and dispose of them when I find a trash can even PK wrappers. I get pissed when i see someone in the matatu throw out a bottle of soda like he owns the world.

[ATTACH=full]115956[/ATTACH]

Lakini pia county governments wanafaa waweke dust bins on various streets.

Yenye nlikatufutia imekushinda ama mcooondu imeknock

naona we think alike. Worse unaenda place kama Karura forest halafu nugu inatupa bottle ya maji hapo kwa msitu yet there are designated bin points.

hapa watu wanaishi tu, bila mpango.

3rd world mentality: no civic responsbility, no desire to do the slightest good.

maan! those fakkers are in another league when it comes to littering and trashing.

Hapa umeongea, kuna mang’aa sugu hucollect uchafu kwa gari alafu when the plastic bag is full, stretches out after he’s sure hakuna on-coming traffic, anazitupa na fujo, na hapo amebeba familia yake. Yaani unafunza watoto uchafu.

Pisses me off too!

For once I agree with you. Trash is a big problem!

Iko jangili ilitupa chupa ikakata mguu ya bike bana. Very crude fellows.

Chupa ya Glass Hatar sana kwa bike iko High Speed…