Litebeam M5

How do you disassemble it into smaller pieces ikae vile inakaanga ikiwa kwa box. Nimeshindwa kuidisassemble na sipati video YouTube ya disassembly. Saidieni bana hii 4k isinitoke.

FYI: Mimi na maneno ya networking bado sijabobea.

Hakuna mtu anajua kudismantle litebeam M5?
@Ndindu uko wapi?

Dismantle kivipi sasa

Chunga usitumie nguvu mingi ubaki na kifaa kama hii apa

Just press some release lever iko hapo tu

I remove all parts separately ikae vile ilikuwa inakaa ikiwa mpya kwa box yake.