Linturi Amesema Ruto Ni Mjinga

Meru is gone despite having their daughter being Supreme Court president.

Kiraitu, Linturi and others have come out guns blazing, spitting fire at both Ruto and Koome.

1 Like

sema kinaumana naskia Linturi alitokwa 50m na securing job yake in 3 months after the scandal na Jambass

Kiraitu alikuwa ameanbiwa Kawira atatolewa, yeye akuwe governor, amengoja amechoka.

Kiraitu Murungi ni mtu amepitwa na wakati, anafaa kuwa retired anashughlika na wajukuu, akingoja siku zake ziishe akufe, sio kusumbua watu eti atafutiwe kazi.

4 Likes