:oops::rolleyes:
Mm kama mkaazi ya huku naelewa situation yako…yaani mm nlikuja huku baridi ikanitwanga proper ilibidi nimelegeza tabia ya malanye…
Huku hakunanga malanye kama tao. Its either uingie Kikuyu upigwe massage,uingie tao unyoroshwe mjulus ama ikiwa mbaya upange safari mpaka Naivasha ama Mai mahiu.
Good news thou,nmenotice kuna lanye zimeanza kuingia…ingia apo nairobi hot ueke limuru utazipata…usichangamkie izo za UG zimepinniwa apo juu…not worth it…
Ni wale wanakunyorosha mjulus na mafuta wanaona wamekusaidia sana. But kama uko mbaya saindi inabidi tu.
Sisi kama watu wa Limuru tunataka haki yetu! Malanye zenye ziko hapa muskie kilio yetu
the cold will dilute his lanye desires…
labda aelekeze macho ruaka