Tourist vans exempted from queuing at the ferry crossing.
Leo umesugua matako ya wamama wangapi kwa line ya ferry?
2 Likes
Nimevuka na gari boss
1 Like
Trailer ikitaka kuvuka ferry, inafanyaje
Inahitaji ujuzi wa hali ya juu, ata bus pia huingia na mpango. Petrol tanker huvuka Peke yake bila gari zingine au abiria
1 Like
when i travellled abroad, ferry ilikuwa kama hoteli. huwessimachin!
1 Like