Forget the kawa socialites u are used to seeing…wale ambao sponsor wao hua big wig birrionaires. Lifestyle is kuishi in an up market apartment pale Kileleshwa and driving a fuel guzzler…etc…forget them.
ENTER socialite mwitu. Their target sio kina Chris Kirubi & other birrionaires juu hapo hawawesi make. Their target ni wale ma mbuyu middle class hivi. Mseh kamshande ni 150K hivi or less. Target ya hawa socialite mwitu huwa mambuyu pale kwa esto. She knows her hunting zones …uyu sio malaya…na pale esto ataki story ya maboy. Mwoman kama huyu huwa ameshika mambuyu kama watano pale esto_Old Men who are married and have kids
Mwoman has a job but not a well paying job…yeye ni receptionist hivi ama anafanya kwa Mpesa or any job ziko hio level. She knows how to hunt for her sponsors who i shall also call sponsor mwitu bcoz they don’t provide chris kirubi style. sasa ujanja ya utu tudem is they hook up with like 5 to 7 old men and play their cards mzuri. Mzae na kipara anaingizwa bedsitter ya mwoman kama huyu anapata iko well furnished…iko neat blabla.
Since mfemale pale esto ajawai onekana na kaboy mzae anaona ameangukia.Kidogo kidogo mzae wa kipara anarushwa kwa king size bed na anasex-iwa na huyu mfemale hadi anamwaga yote. Akitoka apo anawacha kakitu…na kama ni mwisho wa mwezi atatoa kitu kama nusu rent or more…these chics play their cards well. she can have sex with 3 men in one day. Anajua Baba Maina atakuja sato morning 10am ivi juu nlimdanganya naenda salon…Mr. Kinuthia naye atakuja 3pm juu nlimdanganya ntakuwa job jioni and Ochola nlimshow akuje 8pm since am attending a friends wedding.
Sasa ubaya ni mwoman kama huyu anaishi maisha poa kuliko family za hao sponsor mwitu. Mfemale iko tarehe 15th (mwezi corner) lakini anapika spaghetti na minced meat ama Chapati kuku…meanwhile pale kwa sponsor mwitu e.g kwa Baba Maina…mzae anaingia kwa hao na kipara yake… Mama Maina anamuuliza Baba Maina leo tutakula. Mzee ako mama Maina yaani unataka kusema hakuna chakula hii nyumba. Aii baba Maina pesa ya mwisho ulinipa ilikuwa 500 and that was last week,. Ffwd dakika ya mwisho inabidii mama maina aende akope Kaunga na suka wiki pale kwa Kiosk ya Mutisya.
Socialite mwitu naye ako busy facebook ana upload pix kama hizi below
Ukabila itakuuwa jinga hii… kikikikii… But Mungiki find it all funny!..
Shaiza!
The last time nilikuwa mtaani nilimanga ka-yellow yellow hii stra!
To be honest i have never used MPesa in my life alafu kila place mimi na bro ya mine tunaenda anadai ati twende MPesa mpaka ku-top upkasimu nilinyaka for the 2 weeks i was there.
Huto tu manze twa Mpesa they are so alert on anything untoward that happens so kila time tulikuwa tunaenda na bro ya mine hapo Lan`ga alafu i would be curious to see how this shit works alafu kamanze labda kalidhani naperemba bro ya me.
But i told her that i had never used Mpesa and can she explain it to me,
The rest is history and that is how i ramnyad Jambi wa hapo Lan`ga Mpesa
To this day,i don`t understand how MPesa works and i have Never used it.
HII GERMANY UNAISHI HAKUNANGA STORY ZA HUKO UNAWEZA TUAMBIA LIKE MALAYA WA HUKO MAPICHA ZAO WENYE UMEKAMUA AMA PICS ZA KAGILBEYS KA MAJUU YENYE UNAKUNYWA , AMA BLANKET ILE YA SEAL TEAM SIX KANDO YA MATAKO YA DEM BROILER . ATLEAST KABUDA HUJARIBU HATA KAMA NI STORIES FAKE ZA UJINGA . WEWE STORY TU NI YA MALAYA WA DANDORA .
BUT ANYWAY CHOKOSH WHAT IS THE MORAL OF YOUR STORY
heheheh si kayole @Jirani ako dandora huko ndani pahali mauki wanaishi na kuuwa watu , HAKUNA HATA SIKU MOJA AMETUPEA PICS ZA DEM MJERU akaweka signature NI KUGOOGLE TU PICHA YA MJINGA AKIWA HOSPITALI HUKO OCHA YA GERMANY HALAFU KUSEMA NI YEYE AMEPIGWA NA WAARABU . JAMAA HATA KUANDIKA ENGLISH AU KIJERU NI SHIDA . SHENG YAKE NI ILE LATEST YA DANDORA HATA MIMI NIKO KENYA BUT SISHIKI hio sheng .