Angali archives za ktalk utaona
woi nimekosa
Najua uko nazo lakini ni zile za kawaida za cendro … sindio
Nyinyi majamaa wa KTALK mnakuanga a funny lot. Everytime here the only thing you keep doing is complaining about women using men. Sasa mkiona dame ako hustle mnamdiss o_Oo_Oo_Oo_O