Kijana mkosa adabu Lichoti alicheza na jalopy ya @Motokubwa who apparently alikuwa na stress. Kijana alijipata 3 feet juu akiwa ameshikwa koo… Ebu tag his father akuje aone kijana wake. He seems to an Aresenal supporter.
[ATTACH=full]333232[/ATTACH]
[ATTACH=full]333233[/ATTACH]
Nyonga nugu.
Nakumbuka tukiwa kids tulikuwa tunaeka msogoro kwa car exhausts kwa parking lot. Ile kichapo tulipewa my friend, i still have nightmares about it.
Huyu mtoto atandikwe kabisa alainike.
Hii ni upii inamsumbua a few ngotos will set him straight.
Hii ni njama ya watoi na wasee wa mikono colluding na wa ile wakamba ya tyre repair
investigate the thugs behind the scene apana choma mtoi
Sent by Kiambu youth thugs