Lichoti, Mwana wefwe.. Kumbe wewe ucheza foota

Bwana wa Aviator,Mr.Mureithi ame sponsor a football tourney in honor of ile bukusu shepart bibi yake aliua…Lichoti ndio captain ya Machokosh Ngich United FC. Full Squad iko after picture ya Lichoti.
[ATTACH=full]42742[/ATTACH]
Machokosh Ngich United Squad

HEAD COACH… Field Marshal couch P

  1. Kush Yule Mnono GK

Defenders
2. Randy
3. Natty Dread
4. Gio
5. Meria Mata.
Midfield
6. Bjurmann
7. Old monkey
8. Maathais
9. 123tokambio

Strikers
10. Wakanyama shining eyes
11. Lichoti Giroud Chokosh

Team Doctor
Purr 27

11 Likes

Mzee mugay alichujwa kwa lineup?

1 Like

:D:D:D:D…wewe ni mkebe sana, ujinga itakua!!

1 Like

@Meria Mata anajua tu kufunga bao; hadi own-goals:D:D:D:D

2 Likes

Mtaniua jameni
Hehehehe

1 Like

Woi harambee Stars wetu washafungwa na Congo

1 Like

Team witchdoctor: @jumabekavu

4 Likes

He he nakuja na backpack ya medic, ma deep heat na sindano ile kubwa…

1 Like

Yaani kazi yangu Ni Ku Ozil Tu Wakanyaks?

1 Like

Hapo tunaroga mtu, bao zitanyesha kama mvua

Ukakinda team na Wakanyama ako karibu na wewe, utaskia tu, “ng’ombe”!

2 Likes