New LG G3 For sale at 18k halla if interested
2gb RAM
16gb ROM
Chipset: snapdragon 801
Camera: 13MP
5.5" Display
Processor: 2.5Ghz
Android 4.4,4 upgradable to lollipop
halla
mimi ni fan wa lg but hiyo bei nashuku kuna mtu ako ICU ama ametuacha
Hio mwenye atanunua atapatwa na CID
1 Like
io ni zile imbo …very very hard to distinguish between the original and this one being sold here
Moto ya kuotea mbali buy at your own risk. Have seen them being sold in fb and the complaints are sooo many.
Si afadhali mtu anunue hizi mpya, Simu ni simu, kitambo nani alikuwa anatambua tecno, saa hizi je
[ATTACH=full]20647[/ATTACH] [ATTACH=full]20648[/ATTACH]
3 Likes
snapdragon
[/QUOTE]
Hio tu ndio imeharibu soko ya hii simu.