Lexus

Real village Mbirrioneyas what makes hii model to be so expensive? Over $100K for a 2016 model.
Fake Mbirrionayes how is the maintenance locally.
Nimetembea pale Tradeview na SBT na kiherehere yangu imeniacha na stress tu.

Sasa na venye kuna models kaa mia moja, which one are you referring to?

IS,RX,GS,LX,NX hakuna cheap

Kuurisa tu, Ni gani hio Umeona ya hio bei? Kwani ni Ferrari?

[ATTACH=full]62109[/ATTACH]

I see what you did right there, but screenchoti iko…
[ATTACH=full]62110[/ATTACH]
Lakini kama ni 2016 after umenunu over $100k then customs unaumwa ngapi?

2 Likes

Hapo ndo nimekunja mkia na nika 1 2 3 Tokambio

Locally Cheki wanashine na 22M. Hapa hata dim eyed orangutan hawes…Shiny Eyes hata na dawa.

Lanes, lanes bro

4 Likes