Apart from G63 na ile Landcruiser 79 series V8, this is the third car that imepewa 10 out of 10 pale Carnversations infact Ibrahim aliipea 10.1. Man! What a car! V8 sweetness plus reliability. I love Japanese cars from the bottom of my heart. Hii gari inachapa Mercedes S class. Hakuna kitu ya maana kwa gari kama perfomance and reliability. Ubaya 5.3Million o_Oo_Oo_O but itashuka tu. Alternatively unaendea crown majesta ya 1.8m with the same engine.
Ile siku utatembea na mercedes hii nchi ndio utaacha pang’ang’a ya reliability. The respect you get in a German machine especially Mercedes iko juu juu saiiiidiii. Tamu sana. Ushaipewa salute na Afande? ushaiona takataka ya matatu iki reconsider kuingia na kifua ju imeona logo ya mercedes? ushai ona Askari anaogopa kukuambia hatia yako ilhali ni wewe mwenye shida? what about random rich people coming over for a chat?:D.
Pitia hayo yote alafu ukuje kutuimbia “perfomance and reliability”
[ATTACH=full]495415[/ATTACH]
Kama your number one motivation ni respect then nakubali. I could care less about respect when I know niko na 4.6 litre beast of a v8 under the hood. Nanunua gari for my own enjoyment. Kama hii toyota iko under the radar unaeza pita town na 99.9% hawajui but if you know, you know.
Hakuna siku japanese natwanga jeremani
Why is he featuring a 2015 Model in 2023?..
bora usinunue air suspension. shock moja ni $3,000. Pia, avoid pre 2013, hizo links (it uses a multi-link suspension mbele na yuma) za suspension ni defective…ka link kamoja ni $700.
This car is very good bila drama za a “badge”