kbc’s coverage of the world cup was way better than ntv. from the build up to the analysis etc
Tuko super sport… we can’t relate
Seconded
Very true
Thriceded…sijui kama nimepatia maana kizungu naona inatupwa tu na hawa ndugu zangu wajaluo.
Seconded
Thriceded
Fourthded.
Tanzania ni kituo kipi cha runinga kinaonyesha michezo ya kombe la dunia?
Hamna shida kakangu. Uko sawa. Hapa licha ya kizungu sanifu, wanatumia pia sheng’, kwa hivyo usitie shaka.
Tanzania broadcasting corporation (TBC1 &2) live coverage from rhunziski studio in kigamboni.
Everyone has an access to experience once in a lifetime event in Tanzania without subscriptions payment… With our dictator we lose some…we win some.
Dictator you mean Magufoool
You said it…usiniweke kwenye matatizo ndugu.
I didn’t say it!
By the way what transpired ndio NTV wapewe rights this time?
Access to premium content inazidi kurahisika as time goes. Furaha ni kwa consumers everywhere. Ata inaonekana awamu ijayo ya worldcup channel kama zote zitakua na game zote free to air
Analysis ya Ntv ni whack.They should just stick to politics and unearthing corruption stories.
they sub-bought from Kwese
sema Fuck Maghuful
hakuna rights walipewa na FIFA, they are borrowing from Kwese.
:D:D:D:D:D:D