Let's Avoid online dating during quarantine period before you find yourself in jail for child abuse

The below refers, if it’s unavoidable, insist on ID card.

Nilikuwa bored kwa nyumba na hii quarantine nikapata kijamaa handsome tunachat nacho according to his pictures, tuliendelea kuchat mpaka ikafika mahali tukaexchange number ndio tuongee maybe tumeet,so last weekend akanitext remember hajawai nikol eti anataka tumeet,Mimi ni nani na hii quarantine niko solo kwa hao na siko job,nikaona this is the best opportunity ya kutokelezea atleast sitakosa ata kama ni tenga ya tax,Mimi uyo nikadunga design boy child akiniona anameza mate kama maji, nikajipulizia marashi kwelikweli,Mimi uyo mpaka stage na fare yangu,shaaaaaaaa mpaka kwenye tulikuwa tumeet,although place iko crowded aliniambia venye amevaangai wa kirinyagaif the boy is not in class seven he is in class eight,zile picha alikuwa anatumia sio zake,I pretended that there is no network nikazima simu,nilipiga about turnna ile fare yangu nilichomathe question is how comes kanachat kama muhenga,I switched on my phone and blocked the kid,I will never make such a mistake again

Unabore.

Block me

Come abuse me, I will not let you go to jail though.

Are you sure you don’t have Corona?

i thought you are a man why a blue handle

I don’t know. Admin why did you allow me a blue handle?

Hehe… @TrumanCapote kwani shida iko wapi akiwa class 8. Ungemuosha tu :D:D:D

Yangu ilipona kitambo.

ATI nimuoshe? Mtu wa class 8 hajui kuoga? Anyway am only leaving my house for shopping. Hii mambo ingine nimeachia wale wanatafuta ugonjwa kama wewe. Stay at home. Stay safe.

you could have took the opportunity to show him some moves. if you can fall for vibes of a class 8 boy, it shows your mental capacity . Yani zile vitu mtoi wa class 8 anaongea makes perfect sense to you. That is your level, ukitaka kupata lasting love, you need to go kwa hawa jamaa wa kubeba mizigo, juu hio ndio mental maturity level yako

Self quarantine for 3 years ndio tutaamini.

Nilimaanisha umwoshe rungu:D:D:D… kwane eko nene

I’m allergic to rungu more than to Corona. Nikiona someone I suspect wants to give me one. I wear mask, sanitise and social distance immediately. We have enough problems in this country. I can’t handle rungu related ones on top of everything.

Hehe @TrumanCapote the daughter of Kenyatalk unakuanga funny sana:D:D

hapo ni hatari …need to do a background check always…that was veeeery close pheeew!!