Leteni nyokonyoko sasa muone!

[ATTACH=full]78651[/ATTACH] [ATTACH=full]78652[/ATTACH] [ATTACH=full]78653[/ATTACH]

1 Like

Subiri uone. "jubilee is militarising the police "

14 Likes

Hizo wapeleke North Eastern else ni za kutisha baba. #rwnbp

13 Likes

operation back manual back up!!
for digital government

1 Like

Sasa hapa sijui kama KDF @Jazzman is for or against:D… Fafanua haya tafazari…

1 Like

waiting for press briefing about this from #rwnbp

madaktari wamelipwa?

Watu wa D+ wanapatiwa hizi gari kufanyia nini? Hizi wapatie military police. Salon cars na lorries ni sawa wakipeleka abnormal police ‘kuchunga’ kura.

3 Likes

Fuckin hell…hii roundi si mchezo. Hawa wafike mandera na wengine lamu. Security is paramount. Wamekosa tu kuwekelea nuclear missile juu ya gari wastue alshabaab.

waliongezewa 4bn wakasema ni peanuts

1 Like

These are for protecting nyama not wananchi.

4 Likes

ûthamaki would have sounded nice

2 Likes

@pamba mmetusioo

2 Likes

Launching weapons of death at Uhuru park while

✓ Doctors Strike enters 4th month
✓ 12 military officers still held captive by Alshabab in somalia (El adde)
✓Water taps are running dry
✓Lecturers are about to strike
✓Jobless youth in the increase

Ok sorait
This armored police vehicles are only meant to intimidate Kenyans ahead of August Election…after that they become scrap metal. U will find them zikioza in police station yards…ati oooh hakuna fuel

2 Likes

Lakini time ya election zikae karibu na slums,

1 Like

Even at the height of Moi dictatorship hakufanya maneno kama hii.

1 Like

Nikiuliza hizo anti mine pia ni anti molotov cocktail?

3 Likes

yani beafing up security = dictatorship? thie ukiumaga!!

4 Likes

alifanya hivyo shida nikuwa alilaghaiwa na akina kettan somai wakamuletea mahindra, mwingine akaleta fishing boats instead of war ships e.t.c

1 Like

[ATTACH=full]78658[/ATTACH]