Let us learn some words

Swahili - English

  1. Kundi sogozi = chatting group
  2. Sikanu = smartphone
  3. Kitumi=device
  4. Maunzi laini=software
  5. Kiungo=link
  6. Kusanidi=install
  7. Mtaliga=virus
  8. Neno msingi=keyword
  9. Puku=mouse
    10.Baobonye=keyboard
  10. Kiwamba gusa=touch screen
  11. Makavazi=archives
  12. Simu tamba=mobile phone
  13. Mkondoni=online
  14. Pakua=download

Ongezeni zenu

Bonyeza = dial

swadata, asante sana, hili nitaliweka kwenye MAKAVAZI langu, sasa nipe Hard disk, flash disk, USB cable, na CD writer and floppydisk prisssss

Kupiga deki = kuosha

King’amuzi_decorder

Kupiga Punyeto=Kuendesha ndudhi, Kawasaki n.m.
Mfano, @Koolibah hupiga punyeto kila jioni anapomwona mwandalizi Mudhoni wa NTV

Very good… but can you use these words to communicate to 90% of Kenyans?

Kitumi…okay

Intavyuu = Interview:D:D
https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/kuroga-maadui-wako-ktalk.70675/

Umeng’amua maana ya neno husika, lakini umenoa katika kutoa mfano. Ungesema hivi:

@Koolibah hupiga punyeto kila jioni anapomwona mwanahabari Muthoni wa Inooro TV akisoma taarifa ya habari saa tatu usiku.

(Habari hii alitufichulia @Koolibah mwenyewe!)

Kitemeo