Uhuru launched a semiconductor plant in Dedan Kimathi University. I just hope sitachomeka mapaja na hizo chipsets. The first red alert I saw was that while the news were filming the “factory”, not even a display of a completed product or a production process was shown, just a bunch of tired looking motors and drill bit heads. Anyway Buy Kenya, Build Kenya majamaa.
Agreed, I expected more.
Na mlisema ukweli kiongosi amejiachilia saanaa.
[ATTACH=full]361314[/ATTACH]
Uhuru amelaunch vitu haziko mara ngapi? Hamjamzoea? Our young men and women will be providing cheap labour kusort imports kutoka china, kuziweka labels, na kuweka kwa boxes, io ndio mnaita “semi-conductor factory.”
Oh God, the raw negativity prevailing in our country right now!
And if the same factory was being launched in Ghana, Ethiopia or, worst, Rwanda…!!!
It is not negativity, it is kubebwa wanaa. Just like when Obama came to launch a bunch of expired windows 7 computers in some remote village in the name of ICT center. I expected to see a production process going on or a completed product being showcased or tested
Maybe utuambie uncle Machos ame launch stadium ngapi haziko
Arror akilaunch project watu ya Uhuru hupigia treasury isifund io mradi, sabotage, kila mtu anajua.
About dams za wakalenjin, ingia YouTube utaona Raila Odinga akisema hakuna dam itajengwa kwa kalenjins akiwa angali anaishi, ile time alifichua kuhusu ii project ya Northern Collector Tunnel.
Usitupee kazi ngumu. You know how kijiji works. Tupee link.
Maybe his advisors are taking advantage of the semiconductor shortage affecting mostly the car industry. And from what’s happening now r/ship btn US and China won’t go back to normal anyway esp with the USA under Biden teaming up with Japan S.Korea and NATO allies to counter China. Bearing in mind Biden hasn’t reversed Huawei ban on US technology it’s clear on his support of US tech. The US is trying hard to ramp up manufacturing of Chips in the country which means there is huge opportunity for other countries to supply the US as long as they are not a perceived enemy just like S.Korea does.
Also Jaden could be positioning the country for the free trade agreement where semiconductor giants such as Intel and Qualcomm can manufacture their chips cheaply.
Upuuus. What did he ever launch na apana tuma mimi kwa youtube
10th October 2016, io siku ndio baba alifichua io maneno. na akasema hakuna dam itajengwa kwa kalenjins.
Tafuta usemi wa Baba akiwa kwa mazishi ya Isaiah Cheluget, alisema dam zote kwa kalenjins zinakausha mito enye inaenda Lake Victoria, na serikali ya Italy ilifanya makosa kufund project kama io ya kuumiza wajaluo, miezi kidogo badaye after baba kuingia ikuku, company za Italy zikasema zimefilisika
Leta link mdau. Kusema na kutenda ama sio jambazi sugu uncle Machos alisema hivyo?