Lesser evil principle..The story of Sumra,his "followers" and the disturbed middleclass neighbours at Fedha estate

A pal who resides hapo fedha (and i mean the main estoh,wacha zile maploti zimecrop hapo around juzi) tells me Sumra owns a residence there and that where he regularly meets wafuasi wake.He has been doing this since his early years in bunge.Lately he has been distributing food and people have been coming to collect it from there…and sofar it’s been orderly done…But apparently now the neighbours are not ok with it and are protesting this…citing corona.They are actually complaining that the persons (who are mostly slum dwellers) are exposing the residents to risk of corona…and have lodged a complaint…

Anyway…wacha tu tuseme hakuna mtu hupenda masikini…and someone please remind watu wa fedha that corona si ugonjwa ya uchafu kama kipindupindu…and that they(midorocrass) have a higher risk of being infected…na wakumbuke the first case ilitoka suburbs… Plus there is alway a better way of adressing it bila kuonesha direct descrimination lakini middleclass wa kenya ni akina nani waambiwe any?

Sumra, chuma ya zamani. A good friend. Paipu alikuwa ameshika mbaya. Atafute ofisi nje.

Fagia kwako @Eng’iti

Sumra aka Chuma ya Zamani was a good man. He did a lot for wananchi and had clean heart. He battled Mwenje when Mwenje ruled Embakasi like a Mafia Don.

@Malong yor ambia sumra awache kutumia Tambu na Kuber. Mdomo inafanya wanasiasa wamtoroke.

S

still a good guy…mirage awezi Wacha.

Akiona huko Ni Ngori akuje Langata. Amalize ile Kijana ya Ruto Korir. Asikufe moyo awache siasa.

Jalangoo amepangia hio

Ha ha, yaani hii village hauwezi ata andika ki pindupindu vizuri to protect digi?

Jalango can’t and won’t win a sit in Nairobi

Sumra was a coward. Kanjemwe used to bully. Hadi Vita ya mwili alikuwa anaonwa. Iko siku hiyo baniani ilitolewa siaka na mwenje pale mowlem.
Those days mwenje alikuwa anahang na wamama. Ungedhani yeye alikuwa exofficio wa maendeleo ya wanawake.

I used to think the same about Jaguar.

Inasemekana that is what killed him. Ati hata his flats uko Oyole Kama hulipi rent. Inapigwa maji inapunguza balance kidogo.

Kanjemwe AIDs ndio ilituma yeye. He went with alot of women. The women used to spread halafu bursary ina ingia. He had an office pale Dandora dumping site.
In 2007 election he was using the poster za 2002. I saw him in 2007 the guy was a bag of bones. If he was around zile nyumba zilibomolewa kariobangi. Hazingechapwa bila yeye kuingia na kuvuruga.

Enyewe alikuwa noma kama waititu used to fear him too

Digi=Meria Mata

Huyu ni mwizi sugu wa chuma…angalia vile amefanyia Eastern bypass na gang yake mpaka hapo Mombasa Road.

Waititu ura ura iko siku amekimbizwa huko Kwa quarry za Njiru in 2002. And he was merely standing for councillor seat.

unajua aje alikuwa akipanuliwa ndio apeane bursary , ama alikuuliza pia ?

Kamwenje he never went to the grave. Hao wamama wengi walikuwa. Jirani yangu alikuwa right man ya njemwe pia yeye ukimwi ilipita na yeye. Kazi ilikuwa ni seketeee.