Leso Friday :Kamene's wedding proves that post walls will drag anything to the alter

The fact that she financed the wedding has got so many women asking what happened to the queen of baby girl treatment.

I have seen women on Twitter asking “kwani hangepata mtu wa class yake badala huyu DJ msoto amajaza baby mamas Mombasa?” :D:D:D

Kweli post walls hazina options

[SIZE=1]leo ni holiday degree si muhimu [/SIZE]

Ningekuita low IQ bonobo…lakini nimeona disclaimer hapo chini:D:D heneway, no one wants to die alone

Haiya!
Kamene aliolewa?
Lini?
Nimefaa Linda la mafiriri na bra.
Hebu nigonge nazo (tangutha nacio)…

She is the pregnant

:D:D:D

Hakuna tofauti ya Dj na makanga

Pregnant face… All the best in their lives.

In 2018 her body count was 27 Wadau.

[MEDIA=twitter]1649120476780691483[/MEDIA]

One hell of an oversized coat for the Dj

Kamene alisema akona body count ya wanaume 27. Saa hizi haikosi hiyo body count imefika 40 ama 50 before she decided to settle.

From Calvo Mistari, Prezzo, Kibe to Joe Muchiri, wote wamekula Kamene Goro.

Photo courtesy of Andrew Kibe when he was at Kiss.

Huyo DJ venye amesimama, na mahali ameweka mikono yake ni dalili hapo hana say, hapo nikunyenyekea tu. Amenunuliwa. Amewekwa. Na ni beta male and will be addressing that woman “yes, mum unataka aje, nifanye nini to make you happy”.

Huyo mumama is the winner. Amenunua mujamaa. Mujamaa bure sana. Sana.

The guy will pump her for a few yrs then dump her for a more a irresistible soft meat…If she funded this wedding, then this is a marriage of convenience they are having…Kamene probably told the jamaa come stay with me few yrs and lets pretend we are married and give me one or two toizs then from there on if you want to leave I will be okay.

Then it’s a double breast which must always remain buttoned but jamaa ameiwachilia Kama shuka

Findeo iko wapi mkuu nigurumishe Jincheng Jangili

hii chuki anakuanga nayi juu ya andrew kibe ni mnyambo ya punda?

There is something off about that DJ but for some reason I just can’t pinpoint it exactly. Yaani ile unaona unasema “aiih!!!” but ukiulizwa ni nini huwezi sema. Sii body size, sii trouser, sii shati, sii watch, sii madigaga, sii korti. Ukiangalia shati for example you wonder where is the collar? Ukiangalia koti unashindwa hakuna colour ingine angechagua? Why is it oversized and did he have to go for the gold buttons? Viatu za white. Who wears white sneakers to his wedding? Mbona uvae saa ya ufala kama hio? Halafu huko kwao hakuna nyama yenye anaweza kula anone kidogo? Halafu nani hununua gazeti jioni? Iyamtayad with that kafukuswi.

Yaani kumaanisha kama alikuwa anaride dick moja per year toka azaliwe ako na moja extra.

Jamaa anakaa out of place in his own wedding

hana degree