lero ni lero

muhindi jana ameninyima 35,000 juu ya team moja lakini leo lasma nimpake mafuta, stay tuned naleta bet ya 50 odds+ kaeni radaamechi.PNG odds za 50 surebet

Wazi kiongos and you tag me along Niko mahali mbaya saidiii.

Game za saa ngapi

@sludgist @hakimoto pitieni hapa tafasali.

ndio hizi mechi chagua team zako hapa ukague then wekelea bet yako. @Wanaruona

bet 1.PNGbet 3.PNGbet 5.PNG

Never bet before…but nimeona ati Betika ni scammers. Wakiona umeshinda wana edit bets zako

nimeweka za leo

hiyo tax wanakula ni mingi sana @mkenya001 which are the commendable tax free sites? najua linebet.com but odds zao ni less sana

@Sambamba show us the way masta. ulisema kuna algorithm uko nayo surebets

siri ni kuanalyse games daily hata kama you dont bet, utaona pattern kwa team za league kama germany, netherlands ama turkey then una bet na hizo

mimi natumia sportpesa hio tax sio issue kubwa bora wanalipa

Sounds logical. Kuna oga huwa na follow. Yeye hupiga draws on a consistent basis hadi na shangaa.

T

Tum stake niko mbaya sana

Niskyumue details za huyo oga bwana tuomoke

@mkenya001 @sludgist @Condor @hakimoto @Tommy Lee Sparta every weekend tukichambua kila MTU game mbili hatuwezi kosa odd 50. Wekelea 1k hio ni 50 gees. Kwa mwezi ni 200k pesa taslim.

ndio hizi zingine chagua zile utawekelea
bet12.PNGbet14.PNG

naweka ii saa ii
milan w
union berlin ov1.5
lyon gg
alkmaar w
copenhagen x2
benfica ov25

Hii nimewekelea Hadi mara.

nimeweka yangu nitatuma congratulations screenshot asubuhi

embed link ya uyo mnaija bros…